Huduma za Mazingira

Usimamizi Bora wa Taka Kwa Teknolojia

Ekobin ni mfumo wa kisasa unaowaunganisha wateja na wakusanyaji taka kwa urahisi. Pata huduma ya kukusanya taka nyumbani, ofisini au sehemu yoyote kwa kubofya kitufe.

Ekobin App

Tunatoa Huduma Bora za Usimamizi wa Taka

Kutoka kwenye ukusanyaji hadi kutupa, tunakuhudumia kwa ufanisi

Jinsi Mfumo Unavyofanya Kazi

Hatua nne rahisi kupata huduma ya ukusanyaji taka

1

Weka Ombi

Fungua app, chagua aina ya taka na mahali. Mfumo utakuonesha bei.

2

Dereva Anakuja

Mfumo unatafuta dereva wa karibu. Fuatilia eneo lake kupitia app.

3

Ukusanyaji Taka

Dereva anakusanya taka na kuzipeleka kwenye kituo cha ukusanyaji.

4

Kukamilika

Taka zinafikishwa damponi. Lipa kupitia simu au taslimu.

Pakua App ya Ekobin Leo

Jiunge nasi katika kusimamia taka kwa ufanisi. Inapatikana bure.