Taka za Nyumbani

Huduma ya uhakika ya ukusanyaji taka za nyumbani. Pata huduma kwa urahisi kupitia app ya Ekobin.

Ukusanyaji wa Taka Nyumbani kwa Urahisi

Ekobin inakupa huduma ya kukusanya taka za nyumbani kwa haraka na kwa bei nafuu. Hakuna haja ya kusubiri siku nyingi - weka ombi na dereva atakuja kwako.

  • Weka ombi kupitia app wakati wowote
  • Dereva anakuja nyumbani kwako kukusanya taka
  • Bei nafuu inayohesabiwa kwa umbali na uzito
  • Fuatilia dereva kupitia app hadi anakuja
  • Lipa kwa simu au taslimu baada ya huduma
Pakua App Sasa

Aina za Taka Tunazokusanya

Tunakusanya aina mbalimbali za taka za nyumbani kwa ufanisi na usalama.

  • Mabaki ya chakula na mboga
  • Makaratasi, makatoni na plastiki
  • Vifaa vya nyumbani vilivyoharibika
  • Nguo na vitambaa vya zamani
  • Vioo na chupa zilizotumika

Tayari Kupata Huduma?

Pakua app ya Ekobin na uanze kupata huduma ya ukusanyaji taka leo.

Pakua App